Felix Bloch
Mandhari
Felix Bloch (23 Oktoba 1905 – 10 Septemba 1983) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uswisi. Hasa alichunguza usumaku ndani ya atomu. Mwaka wa 1952, pamoja na Edward Purcell alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Felix Bloch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |