Ezekiel Magolyo Maige

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ezekiel Magolyo Maige (amezaliwa tar. 28 Machi 1970) ni mbunge wa jimbo la Masalala katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]