Evelyne Nakiyingi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Evelyne Nakiyingi (alizaliwa Novemba 2, 1998) ni mwanamke mchezaji wa mpira wa kikapu wa Uganda anayecheza kama mlinzi (guard) kwa klabu ya JKL Dolphins na timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa kikapu ya Uganda.[1][2]

Historia ya taaluma[hariri | hariri chanzo]

Nakiyingi alikuwa kwenye kikosi cha JKL Dolphins kilichoshiriki kwenye mchujo wa ligi ya mpira wa kikapu ya wanawake ya FIBA Africa.

Aliwakilisha Uganda kwa mara ya kwanza mwaka 2023 alipoitwa kwenye mchujo wa FIBA Afrobasketball-qualifiers.[3] Alikuwa sehemu ya kikosi cha mwisho cha Gazelles kinachowakilisha Uganda wakati wa Afrobasket ya wanawake ya mwaka 2023 huko Kigali, Rwanda, ambayo ilifanyika kuanzia Julai 28 hadi Agosti 6, 2023.[4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Evelyne Nakiyingi, Basketball Player, News, Stats". Eurobasket. Iliwekwa mnamo 2024-04-14. 
  2. "Evelyne Nakiyingi". play.fiba3x3.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-14. 
  3. "Evelyne Nakiyingi - Player Profile". FIBA.basketball. Iliwekwa mnamo 2024-04-14. 
  4. Kawalya, Brian (2023-07-25). "Evelyn Nakiyingi Wants To Make Her Minutes Count". Live from ground. Iliwekwa mnamo 2024-04-14. 
  5. "GAZELLES: 19 Called for AFROBASKET 2023 Preps". ChimpReports. 2023-06-22. Iliwekwa mnamo 2024-04-14. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Evelyne Nakiyingi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.