Nenda kwa yaliyomo

Essaïd Belkalem

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Essaïd Belkalem

Essaïd Belkalem (alizaliwa 1 Januari 1989) ni mchezaji wa soka wa Algeria anayecheza kama beki katika timu ya JS Kabylie na timu ya taifa ya Algeria.[1]

Mafanikio

[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2009, Belkalem alichaguliwa kuwa kijana bora wa tatu katika Algerian Championnat National nyuma ya Abderahmane Hachoud na Youcef Ghazali kwa kupitia kura zilizo pigwa na DZFoot.[2]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Essaïd Belkalem kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.