Nenda kwa yaliyomo

Ernie Mills

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ernest Lee Mills, III (alizaliwa tarehe 28 Oktoba 1968) ni mchezaji wa zamani wa kitaalamu wa futiboli ya Marekani ambaye alikuwa nafasi ya mpokeaji mpana katika ligi ya NFL katika timu za Pittsburgh Steelers, Carolina Panthers na Dallas Cowboys. Alicheza futiboli ya chuo kikuu katika timu ya Florida Gators.[1][2][3]


  1. "Ernie Mills profile". Databasefootball.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 14, 2010. Iliwekwa mnamo Februari 19, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Hometown Hero". Iliwekwa mnamo Februari 19, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "2011 Florida Gators Football Media Guide" (PDF). Gatorzone.com. Gainesville, Florida: University Athletic Association. ku. 97, 99, 124, 144–145, 148, 184. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo Aprili 2, 2012. Iliwekwa mnamo Februari 19, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)