Nenda kwa yaliyomo

Ernest Gakeya Mabina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ernest Gakeya Mabina (amezaliwa tar. 15 Julai 1954) ni mbunge wa jimbo la Geita katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Ernest Gakeya Mabina". 19 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje

[hariri | hariri chanzo]