Erika Brown

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Erika Brown ni mwogeleaji toka Marekani. Alifuzu kwenye michuano ya olimpiki ya 2020 katika 4 x 100m kwa mtindo huru na binafsi pia kwa mita 100, ikamuweka nafasi ya pili katika fainali ya majaribio katika timu ya Olimpiki kwa Marekani.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]