Erick Evarist

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Erick Evarist ni mwandishi wa habari, mhakiki, na mhariri wa nchini Tanzania, ambaye ni muongoza vipindi wa kituo cha habari cha Global TV Online na magazeti, machapisho ya kila siku ya Kiswahili. [1] [2] [3]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Hapo awali alikuwa na shughuli za mpiga picha katika matukio mbalimbali, aliachana na kazi hiyo na sasa anahudumu kama mwandishi anayeendelea kutoa machapisho katika tasnia ya habari. Anafanya kazi kama mhariri wa magazeti yanayo chapishwa, Risasi, Ijumaa na Amani yote chini ya kampuni ya Global Publishers. [4] [5] [6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "MKUU WA SHULE MWENYEHERI ANUARITE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS" (kwa Kiswahili). Global Publishers. 1 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 30 Juni 2023. 
  2. Shomari, Sunday (13 Oktoba 2014). "ZIARA YA GLOBAL PUBLISHERS". Iliwekwa mnamo 30 June 2023.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. [ https://www.instagram.com/p/B94NZMkiCgt/ Mhariri wa Gazeti la Risasi, Erick Evarist (kushoto) akimkabidhi Gazeti la Risasa Mchanganyiko Maalim Seif alipofika kuzungumza na wahariri wa Kampuni ya Global Publishers katika ofisi za kampuni hiyo zilizopo Sinza-Mori jijini Dar es Salaam leo Machi 18, 2020.] 18 Machi 2018
  4. "Uzinduzi wa Saccos ya Wauza Magazeti nchini Tanzania". globalpublishers.co.tz. 
  5. "Wanawake Wazuri Hawaoleki?" (kwa Kiswahili). Tanzania Web. 22 Juni 2021. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-06-30. Iliwekwa mnamo 30 Juni 2023.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  6. "Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam atembelea Global Publishers", 2 December 2016. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Erick Evarist kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.