Nenda kwa yaliyomo

English Gardner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gardner kwenye Olimpiki ya 2016
Gardner kwenye Olimpiki ya 2016

English Gardner (alizaliwa 22 Aprili 1992) ni mkimbiaji wa mbio fupi wa Marekani aliyejikita kwenye mbio za mita 100.  Muda wake bora wa sekunde 10.74, alioweka mwaka 2016, unamuweka kwenye kumi bora wa muda wote kwa umbali huo.[1]

  1. "100 Metres - women - senior - outdoor". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-16.