Emmanuel Jumanne Luhahula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Emmanuel Jumanne Luhahula (amezaliwa 30 Januari, 1964) ni mbunge wa jimbo la Bukombe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Kwa taaluma ni mhasibu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Emmanuel Jumanne Luhahula (25 Aprili 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]