Elsa Joubert

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Elsa Joubert

Elsa Joubert (amezaliwa 19 Oktoba 1922 na jina Elsabé Antoinette Murray) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika riwaya na hadithi za safari kwa lugha ya Kiafrikaans.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elsa Joubert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.