Nenda kwa yaliyomo

Ellis McNatt Jones

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ellis McNatt Jones (alialiwa Februari 25, 1970) ni mwanasosholojia na mwandishi wa Marekani katika Chuo cha The Holy Cross. Utafiti wake umezingatia matumizi ya kimaadili, uwajibikaji makampuni kwa jamii, na harakati za maisha. Anajulikana sana kwa utafiti wake wa kutafsiri rekodi za kijamii na kimazingira za kampuni katika mfumo wa ukadiriaji wa A hadi F ili kutumiwa na watumiaji.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ellis McNatt Jones kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.