Elisa David Mollel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Elisa David Mollel (amezaliwa tarehe 17 Februari, 1945) ni mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi (Akheri) katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Elisa David Mollel (3 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.