Elias Corey
Mandhari
(Elekezwa kutoka Elias James Corey)
Elias James Corey (amezaliwa 12 Julai 1928) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mambo ya usanisi. Mwaka wa 1990 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elias Corey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |