Nenda kwa yaliyomo

El Biar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
El Biar

El Biar (kwa kiarabu "الأبيار", maana yake "visima") ni kitongoji cha Algiers, Algeria. kipo katika eneo la kiutawala la Bouzaréah katika mkoa wa Algiers. Kufikia sensa ya 1998, biar ilikuwa na idadi ya wakazi 52,582. Msimbo wa posta wa kitongoji hicho ni 16030 na msimbo wake wa manispaa ni 1610.[1]

  1. "Contact Archived 2017-02-11 at the Wayback Machine." Transport Ministry. Retrieved on 3 February 2012. "01, Chemin Ibn Badis El-Mouiz Ex Poirsson, El Biar 16300 Alger"