Nenda kwa yaliyomo

El Badra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

El Badra (kwa Kiarabu: البذرة, tafsiri: Mbegu) ni kipindi cha televisheni cha Algeria, kinachotayarishwa na kutangazwa na Télévision Algérienne, kikiongozwa na Mohamed Hazourli.

Ilionyeshwa kwa mara ya kwanza 2008 hadi 2010 kwenye Télévision Algérienne, A3 na Canal Algérie.[1]

Ina baadhi ya waigizaji nyota kam Mohammed Adjaimi, Fatiha Berber, Nidhal Doja na Asma Djermoune kama mhusika mkuu.

  1. "منتديات ستار تايمز". www.startimes.com. Iliwekwa mnamo 2024-02-12.