Nenda kwa yaliyomo

Ekwang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ekwang (pia inajulikana kama "Ekpang Nkukwo", "Ekpang" na "Ekwang Coco") ni chakula cha kikameruni kwa watu wa Bakweri, Bafaw na Oroko .[1] [2] Imetengenezwa kwa cocoyams zilizosagwa ambazo zimefungwa kwa majani ya cocoyam.[3][4]  Viungo vingine nikama samaki wabichi au wakukaanga, nyama, mafuta ya mawese,  kamba na vikolezo.[5]

[6]Ekwang


Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ekwang kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.