Kabila la Efraimu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Efraimu (kabila))
Kabila la Efraimu ni nusu ya kabila la Yosefu; nusu ya pili inaitwa kabila la Manase. Jumla ya makabila ya Israeli ni 12, yanayotokana na watoto wa kiume 12 wa Yakobo Israeli.
Kadiri ya Kitabu cha Mwanzo, kabila hilo lilitokana na Efraimu, mmojawapo wa watoto wawili wa Yosefu. Mtoto wa kwanza aliitwa Manase, na ndiye asili ya nusukabila nyingine.
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kabila la Efraimu kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |