Kabila la Manase

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya eneo lililopewa kabila hilo pande zote mbili za mto Yordani.

Kabila la Manase ni nusu ya kabila la Yosefu; nusu ya pili inaitwa kabila la Efraimu. Jumla ya makabila ya Israeli ni 12, yanayotokana na watoto wa kiume 12 wa Yakobo Israeli.

Kadiri ya Kitabu cha Mwanzo, kabila hilo lilitokana na Manase, mmojawapo wa watoto wawili wa Yosefu. Mtoto wa pili aliitwa Efraimu, na ndiye asili ya nusukabila ya pili.

Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kabila la Manase kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.