Edward Albee
Mandhari
(Elekezwa kutoka Edward Franklin Albee)
Edward Albee | |
Amezaliwa | Edward Franklin Albee III 12 Machi 1928 Virginia, Marekani |
---|---|
Amekufa | 16 Septemba 2016 |
Nchi | Marekani |
Edward Franklin Albee (12 Machi, 1928 - 16 Septemba, 2016) alikuwa mwandishi wa tamthiliya kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa tamthiliya yake “Nani Anaogopa Virginia Woolf?” (kwa Kiingereza: Who’s Afraid of Virginia Woolf?) iliyotolewa 1962. Kwa ajili ya tamthiliya zake za baadaye alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya miaka ya 1967, 1976 na 1992.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edward Albee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |