Du gamla, du fria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Du gamla, du fria, United States Navy Band (1:28).

Du gamla, du fria ni Wimbo wa Taifa wa Uswidi. Kiswahili: Wewe kale, Wewe bure. Imeandikwa 1844. Richard Dybeck aliandika.