Nenda kwa yaliyomo

Dorothy Miles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dorothy "Dot" Miles née Squire (19 Agosti 193130 Januari 1993) alikuwa mshairi na mwanaharakati katika jumuiya ya viziwi ya Welisi. Katika maisha yake yote, alitunga mashairi katika lugha ya ishara ya Uingereza, na lugha ya ishara ya Marekani.

Miles (née Squire) alizaliwa 19 Agosti 1931 huko Holywell, Flintshire, Wales kaskazini, binti wa James na Amy Squire (née Brick).[1]

  1. "University of Bristol Graduate School of Education". Iliwekwa mnamo 7 Agosti 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dorothy Miles kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.