Domtila Chesang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Domtila Chesang ni mwanaharakati mwanamke wa Kenya anayeendesha kampeni za kupinga ukeketaji wa wanawake. Ni mwanzilishi na mkurugenzi wa taasisi ya I Rep[1],Ilioanzishwa kwa ajili ya kupambana na aina za unyanyasaji wa wasichana na wa kina mama.

Alipokea tuzo ya utambulisho wa kiongozi kijana mpingaji wa masuala ya ukeketaji nchini kenya, alipewa tuzo hiyo na shirika la THE QUEEN´S YOUTH LEADERS[2]. Amezaliwa na kukulia kwenye jamii ya Kipokot.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Domtila Chesang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.