Diodorus Kamala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Diodorus Buberwa Kamala)
Kamala

Diodorus Buberwa Kamala (26 Novemba, 1968 - 12 Februari 2024) alikuwa Mbunge katika Bunge la Tanzania.

Chanzo[hariri | hariri chanzo]