Desimita
Mandhari
Desimita (pia: desimeta) ni kipimo cha urefu wa sentimita 10 au mita 0.1.
Kifupi chake ni dm.
Kipimo hiki hakitumiki sana isipokuwa na walimu wanaopenda kuwapa wanafunzi mazoezi ya kubadilisha vipimo.
1 dm = 10 cm ; 1 cm = 0,1 dm 1 dm = 100 mm ; 1 mm = 0,01 dm