Derrick Rose

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Derrick Rose

Derrick Martell Rose (amezaliwa Chicago, Marekani, 4 Oktoba 1988) ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa Marekani.

Alijifunza mwaka mmoja katika chuo cha mpira wa kiakapu cha Memphis Tigers na baada ya kumaliza hapo alienda kucheza katika klabu ya Chicago Bulls huko Chicago.Rose alizaliwa na kukulia katika eneo la Eglewood huko kusini mwa Chicago.

Derrick ni mtoto wa mwisho wa Brenda Rose kabla ya Dwayne,Regie na Allan.Wote watatu walikuwa na kipaji cha mpira wa kikapuambapo walimfundisha mdogowao. Rose alianza maisha ya mpira wa kikapu Simeon Career academy na baadaya hapo alienda Chicago Bulls huko Chicago. Pia alichezea klabu mbalimbali kama New York Kniks,Cleverland cavaliers,Minnesota Timberwolves,Detroit Pistons ambayo anachrzea hadi hivi sasa.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Derrick Rose kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.