Nenda kwa yaliyomo

Delta Force

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Delta Force ni mchezo wa kompyuta uliotengenezwa na kuchapishwa na NovaLogic.

Mchezo huu ulifunguliwa kwa ajili ya Microsoft Windows mwaka 1998, na ulitolewa upya kwenye Steam mwaka 2009.


Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Delta Force kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.