David Homeli Mwakyusa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

David Homeli Mwakyusa (amezaliwa tar. 9 Mei 1942) ni mbunge wa jimbo la Rungwe Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu David Homeli Mwakyusa (18 Februari 2008). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.