Dar Cherifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dar Cherifa kihistoria kwenye karne ya 16 ilikuwa inajulikana kama Dar Ijimi, huko medina (mji wa zamani) wa Marrakesh, nchini Morocco. Unapatikana katika kitongoji cha Mouassine. Ni moja wapo ya nyumba chache zilizohifadhiwa vizuri na jijini la Saadani. Katika miaka ya hivi karibuni imebadilisha na sasa inatumiwa kama mgahawa na nyumba ya sanaa.[1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Nyumba hiyo ilitengenezwa kipindi cha Saadian katikati karne ya 16, inasemekana kipindi cha Sultan Abdallah al-Ghalib, alishukuru kutokana na mitindo na mapambo ya nyumba hiyo kufanana na Madrasa ya Ben Youssef. Nyumba hiyo inamuonekano sanjari na mradi wa ujenzi wa al-Ghalib jirani na Mouassine. Kwasababu ya mapambo yake ya kitajiri,[1][2] inakadiriwa kujengwa sehemu za kidini au familia za kitajiri.Ni moja ya nyumba chache za kitajiri mpaka hivi sasa tokea kipindi hicho pamoja na Dar al-Masluhiyyin ambapo kwa ujumla inafanya kuwa moja ya nyumba za zamani Marrakesh.[1][2]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 Salmon, Xavier (2016). Marrakech: Splendeurs saadiennes: 1550-1650. Paris: LienArt. ku. 276–278. ISBN 9782359061826. 
  2. 2.0 2.1 Wilbaux, Quentin (2001). La médina de Marrakech: Formation des espaces urbains d'une ancienne capitale du Maroc. Paris: L'Harmattan. ISBN 2747523888.