Daniel Nicodemus Nsanzugwako

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Daniel Nicodemus Nsanzugwako (amezaliwa tar. 15 Agosti 1956) ni mbunge wa jimbo la Kasulu Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Daniel Nicodemus Nsanzugwako (13 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.