Daniel Ledwell
Mandhari
Daniel Ledwell ni mtayarishaji wa rekodi na mchezaji vyombo vingi kutoka Kanada.
Anaishi Halifax, Nova Scotia, na ameoa mwimbaji na mwandishi wa nyimbo Jenn Grant.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Trapunski, Richard (February 17, 2011). "Jenn Grant: Halifax singer/songwriter discovers happy songs can be just as good as heartbreakers", Now. 30 (25). Retrieved January 19, 2014.
- ↑ https://web.archive.org/web/20140220165651/http://www.chartattack.com/news/2008/01/16/in-flight-safetys-daniel-ledwell-releases-solo-record/
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Daniel Ledwell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |