Damas Pascal Nakei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Damas Pascal Nakei (amezaliwa tar. 19 Februari 1959) ni mbunge wa jimbo la Babati Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Damas Pascal Nakei (17 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.