Nenda kwa yaliyomo

Dagmar Hülsenberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hülsenberg mwaka 2019

Dagmar Hülsenberg (alizaliwa Sonneberg, 2 Desemba 1940) ni mwanasayansi wa Sayansi ya vifaa na Profesa wa chuo kikuu kutoka Ujerumani.

Mnamo mwaka 1975 akiwa na umri wa miaka 34, alikua profesa kamili mdogo zaidi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ujerumani. Wakati huo tayari alikuwa amejipambanua kwa kupata shahada za uzamivu katika fani mbili ambazo hazihusiani sana Uchumi mwaka 1969 na Sayansi ya vifaa mwaka 1970.[1]

  1. "Prof. Dr. Dr. Dagmar Hülsenberg". Spektrum der Wissenschaft Verlagsgesellschaft mbH, Heidelberg. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 5 Machi 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dagmar Hülsenberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.