Cyclops (komiki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Cyclops (Siklopsi)
230px
Maelezo ya chapisho
Mchapishaji Marvel Comics
Kujitokeza kwanza

The X-Men #1 (Sept. 1963)
Waumbaji

Stan Lee
Jack Kirby
Maelezo
Jina halisi Scott Summers
Spishi Mutanti
Ushirikiano X-Men
X-Force
X-Factor
X-Terminators
The Twelve
Lakabu mashuhuri Cyke, Slim, Slym Dayspring, Scotius Summerisle, Mutate #007, Eric the Red
Uwezo Mionzi ya nishati ya macho

Cyclops (Kiswahili: Siklopsi) ni supa-shujaa aliyetoka ulimwengu wa Marvel Comics. Alikuwa mwanachama wa kwanza na mkuu wa X-Men. Cyclops ni mutanti mwenye uwezo kufyatua mionzi ya nishati kutoka macho yake.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cyclops (komiki) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.