Craig Candeto
Mandhari
Craig Candeto amezaliwa Machi 6, 1982 ni kocha wa mpira wa Futiboli ya Marekani na mchezaji wa zamani. Alikuwa kocha wa wachezaji wa wabeba mpira katika Chuo Kikuu cha Jimbo la Austin Peay. Candeto aliwahi kuwa kocha mkuu wa timu ya Futiboli katika Chuo Kikuu cha Capital kilichopo Columbus, Ohio kutoka mwaka 2013 hadi mwaka 2015.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Van Valkenburg, Kevin (Agosti 30, 2002). "Candeto steps to the plate". The Baltimore Sun. Iliwekwa mnamo Februari 11, 2020.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)