Nenda kwa yaliyomo

Corky Rogers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Charles Buxton "Corky" Rogers IV (Desemba 19, 1943 – Februari 26, 2020)[1] Alikuwa kocha wa futiboli ya Marekani. Alihudumu kama kocha mkuu wa futiboli katika shule mbili za sekondari huko Jacksonville, Florida, Shule ya Upili ya Robert E. Lee kutoka mwaka 1972 hadi mwaka 1988 na Shule ya Bolles kutoka mwaka 1989 hadi mwaka 2016.[2][3][4]

  1. Van Thyn, Nico (Januari 23, 2013). "Few have won as much, or as long, as "Corky"". Once A Knight... Iliwekwa mnamo Mei 23, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Cornelison, Tom (2005). "-"Corky" Rogers". Georgia Tech Alumni Magazine. 81 (4).
  3. Erica Koch, Jana Rainer. "Coach Charles "Corky" Rogers". March 2, 2011. University of North Florida. Iliwekwa mnamo 24 Mei 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Frenette, Gene. "Record 313 in the works", December 13, 2003. Retrieved on 22 May 2013.