Collines (Benin)
Mandhari
Collines ni moja ya mikoa kumi na mbili ya Benin. Una eneo la km2 13,931 na wakazi 716,558 (2013).
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Collines (Benin) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |