Cleveland Abbott

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maafisa wa Kikosi cha 366 cha Jeshi la Marekani kilichotenganisha askari wa miguu kwenye meli ya RMS Aquitania, wakielekea nyumbani kutoka kwa huduma ya Vita vya Kwanza vya Kidunia, Abbott kushoto.
Maafisa wa Kikosi cha 366 cha Jeshi la Marekani kilichotenganisha askari wa miguu kwenye meli ya RMS Aquitania, wakielekea nyumbani kutoka kwa huduma ya Vita vya Kwanza vya Kidunia, Abbott kushoto.

Cleveland Abbott alizaliwa Disemba 9, 1894 na kufariki Aprili 14, 1955 alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu, kocha na muelimishaji huko nchini Marekani[1]. Alikuwa kocha mkuu wa timu ya mpira wa miguu wa chuo kikuu kinachoitwa Tuskegee University Golden Tigers mnamo mwaka 1923 mpaka 1954.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]