Kigogo (lugha)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Cigogo)
Hii ni makala ya lugha ya Kigogo. Kwa maana mengine ya jina hili angalia Kigogo (maana).
Kigogo (pia huitwa Chigogo) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wagogo. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kigogo imehesabiwa kuwa watu 1,440,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kigogo iko katika kundi la G10. Lugha huandikwa na herufi za Alfabeti ya Kilatini.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Lugha ya Kigogo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigogo Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigogo katika Glottolog
- Ethnologue
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Ilihifadhiwa 4 Oktoba 2006 kwenye Wayback Machine.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Clark, G. J. 1877. Vocabulary of the Chigogo language. London: Society for Promoting Christian Knowledge (SPCK). Kurasa 58.
- Cordell, Oliver T. 1941. Gogo grammar, exercises, etc. Mpwapwa (Tanganyika). Kurasa 117.
- Preston, W. W. 1946. An outline dictionary of ChiGogo. Manuscript at the Diocese of Central Tanganyika at Dodoma. Kurasa 432.
- Rossel, Gerda. 1988. Een schets van de fonologie en morfologie van het Cigogo. Doctoraalscriptie. Rijksuniversiteit te Leiden.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigogo (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |