Chuo Kikuu cha Mzumbe
Mandhari
(Elekezwa kutoka Chuo kikuu Mzumbe)
Chuo Kikuu cha Mzumbe ni chuo kikuu cha umma kinachopatikana Mzumbe, wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro, Tanzania. [1] Chuo kikuu cha Mzumbe kilianzishwa rasmi mwaka 2001.
Taaluma
[hariri | hariri chanzo]Chuo kikuu cha Mzumbe kinatoa taaluma katika ngazi mbalimbali za elimu kwenye maeneo yafuatayo[2]:
- Shule ya Biashara
- Shule ya menejimentin na Utawala
- Kitivo cha Sheria
- Kitivo cha Sayansi Jamii
- Kitivo cha Sayansi na Teknolojia
- Taasisi ya Masomo ya Maendeleo
- Kurugenzi ya Utafiti, Machapisho na Shahada za juu
Huduma za wanafunzi
[hariri | hariri chanzo]Chuo kikuu cha Mzumbe kimejianisha kutoa huduma zifuatazo kwa wanafunzi ili kukuza taaluma:[3]
- Huduma za Afya
- Huduma za Malazi
- Serikali ya Wanafunzi
- Huduma za Chakula
- Huduma za Posta na Benki
- Huduma za Duka la Vitabu
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Orodha ya vyuo Vikuu" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 24 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "| Chuo Kikuu Mzumbe". site.mzumbe.ac.tz. Iliwekwa mnamo 2019-11-07.
- ↑ "| Chuo Kikuu Mzumbe". site.mzumbe.ac.tz. Iliwekwa mnamo 2019-11-07.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Wavuti ya chuo Archived 23 Februari 2009 at the Wayback Machine.
Kigezo:Vyuo vikuu vya Tanzania
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Mzumbe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |