Chuo cha Kianda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chuo cha Kianda huko Nairobi, Kenya ilikuwa ya kwanza kuchukuwa wanafunzi wasichana wa asili tofauti katika Afrika Mashariki.

Ilianzishwa na Kianda Foundation mwaka 1977 na wanafunzi 40, kufuatia mahitaji kutoka wanafunzi wa kitambo wa Kianda Secretarial College. Kianda School sasa ina uwezo wa kuhitimu wasichana 900[1] Mkuu wa kwanza wa shule alikuwa Olga Marlin.

Kianda ni shule-ya-kutwa ya wasichana na iko na sehemu za Msingi na Sekondari.

Udhamini hupewa kwa wanafunzi wenye kipawa na ambao wazazi wao hawawezi kulipa karo.

Mwaka 2005 shule ya matokeo ya KCSE yaliiweka katika shule za juu 10 kitaifa.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kianda Foundation Projects. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-10-22. Iliwekwa mnamo 2009-12-24.
  2. Times News. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-03-13. Iliwekwa mnamo 2009-12-24.
  3. Thursday April 13, 2006 School & Career Private schools have come of age, By Munyori Buku. Jalada kutoka ya awali juu ya 2006-06-01. Iliwekwa mnamo 2009-12-24.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chuo cha Kianda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.