Chuo Kikuu cha York
Mandhari
Chuo Kikuu cha York | |
---|---|
Staff | 3,082 |
Wanafunzi | 13,270 |
Wanafunzi wa shahada ya kwanza | 9,105 |
Wanafunzi wa uzamili | 4,165 |
Mahali | {{{mji}}} |
Sports | BUSA |
Chuo Kikuu cha York ni chuo kikuu cha mji wa York katika Uingereza. Chuo hiki kilianzishwa mwaka 1963. Kuna zaidi ya idara 30 zinazofundisha fani nyingi. York ni maarufu hasa kwa utafiti wa kisayansi katika utathmini wa mwaka 2008 chuo hiki kiltajwa kuwa na nafasi ya 6 kati ya taasisi za uchunguzi wa kisayansi katika Ufalme wa Maungano.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Top 20 for Research". The Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-08-19. Iliwekwa mnamo 2008-07-24.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- University of York – tovuti rasmi
- University of York Students' Union ("YUSU")
- University of York LGBT Website Ilihifadhiwa 11 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha York kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |