Chuo Kikuu cha Kusini mwa New Hampshire
Mandhari
Chuo Kikuu cha Kusini mwa New Hampshire (kwa Kiingereza: Southern New Hampshire University) ni taasisi ya elimu ya juu iliyoko kusini mwa jimbo la New Hampshire, Marekani. Inatoa kozi mbalimbali za elimu ya juu na huduma za kielimu kwa wanafunzi
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Kusini mwa New Hampshire kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |