Nenda kwa yaliyomo

Chuo Kikuu cha Cape Coast

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maktaba ya Chuo

Chuo Kikuu cha Cape Coast (UCC) ni chuo kikuu cha umma kilichoko katika mji wa kihistoria wa Cape Coast katika eneo la kati la Ghana. [1] as a university college in response to the country's dire need for highly qualified and skilled manpower in the education sector. Its original mandate was therefore to train graduate teachers for second cycle institutions, teacher training colleges and technical institutions,[2] Chuo hiko kina sehemu ya mbele ya bahari adimu na ipo katika kilima kinachoangalia bahari ya Atlantiki.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "University of Cape Coast". Ghana web. Iliwekwa mnamo 2023-08-12.
  2. "History". University of Cape Coast (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-08-12.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Cape Coast kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.