Nenda kwa yaliyomo

Chuo Kikuu cha Askofu Grosseteste

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Grosseteste, Askofu wa Lincoln na msomi

Chuo Kikuu cha Bishop Grosseteste (BGU) ni mojawapo ya vyuo vikuu viwili vya umma katika jiji la Lincoln, Uingereza (kingine kikiwa Chuo Kikuu cha Lincoln). BGU kilianzishwa kama chuo cha mafunzo ya walimu kwa ajili ya Jimbo la Lincoln mnamo mwaka 1862. Kilipata mamlaka ya kutoa shahada za kufundisha mwaka 2012,[1] kiliomba hali ya kuwa chuo kikuu kamili,[2] na kilipatiwa hadhi hiyo mnamo tarehe 3 Desemba 2012. Kwa sasa kina wanafunzi wapatao 2,300 wa muda wote wakijiandikisha kwenye programu na kozi mbalimbali.[3]

  1. ""University profile Bishop Grosseteste University College"". Push.co.uk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 24 Aprili 2008.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Robinson, Muriel (11 Juni 2012). "Statement Regarding University Title". blog.bishopg.ac.uk. Iliwekwa mnamo 26 Agosti 2022. we will make an application to the Privy Council to change our name to Bishop Grosseteste University{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Bishop Grosseteste University Launched Accessed 16 December 2012
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Askofu Grosseteste kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.