Christopher Olonyokie Ole Sendeka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Christopher Olonyokie Ole Sendeka (amezaliwa 1 Januari, 1964) ni mbunge wa jimbo la Simanjiro katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Christopher Olonyokie Ole Sendeka (17 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.