Christina Aguilera
Mandhari
Christina Aguilera | |
---|---|
Christina Aguilera, mnamo 2006
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Christina Maria Aguilera |
Amezaliwa | 18 Desemba 1980 |
Asili yake | New York, Marekani |
Ala | Sauti, synthesizer dansi, electronic |
Aina ya sauti | Contralto |
Miaka ya kazi | 1999–hadi leo |
Studio | RCA Records (1999-hadi leo) |
Tovuti | www.christinaaguilera.com |
Christina Maria Aguilera (anafahamika zaidi kama Christina Aguilera; alizaliwa 18 Desemba 1980) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za pop dansi kutoka Marekani.
Ameshinda mara 5 tuzo za Grammy .
Muziki
[hariri | hariri chanzo]Albamu'
[hariri | hariri chanzo]- 1999: Christina Aguilera
- 2002: Stripped
- 2006: Back To Basics
- 2010: Bionic
- 2018: Liberation
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christina Aguilera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |