Christiaan Johannes Joubert
Mandhari
Christiaan Johannes Joubert | |
tarehe ya kuzaliwa | 1834 |
---|---|
tarehe ya kufa | 1911 |
Christiaan Johannes Joubert ( 1834-1911 [1] ) aliwahi kuwa mjumbe wa baraza kuu na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini . [1]
Alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini mwaka wa 1885 [2] baada ya kifo cha Cornelis Johannes Bodenstein. Alikuwa makamu wa rais na kaimu waziri wa madini wakati wa Witwatersrand Gold Rush ambayo ilichangia kuanzishwa kwa Johannesburg mnamo mwaka1887. [3] Nicolaas Smit alichaguliwa kuwa makamu wa rais mnamo Juni 1887 ili kumrithi Christiaan Johannes Joubert.
Wakati fulani aliwahi kuwa mwanachama wa Volksraad.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
- ↑ 1.0 1.1 "Lantern" (kwa Kiafrikana). Adult Education Division, Union Education Department. 1986.
- ↑ "Almanach de Gotha 1887" (kwa Kifaransa). 1887.
- ↑ Hirschson, Niel (1974). The Naming of Johannesburg as an Historical Commentary (kwa Kiingereza). Nugget Press. ISBN 9780620003575.