Chloe Bennet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bennet akiwa Wondercon mwaka 2018

Chloe Wang (maarufu kama Chloe Bennet; alizaliwa Chicago, Illinois, Aprili 18, 1992[1]) ni mwigizaji na mwimbaji wa Marekani. Aliigiza kama Daisy Johnson/Quake katika tamthilia ya Marvel's Agents of SHIELD (2013–2020).

Maisha ya zamani[hariri | hariri chanzo]

Chloe Wang ni mtoto wa Bennet Wang, ambaye ni mfanyakazi wa benki ya uwekezaji [2] na Stephanie Crane, mtaalamu wa mafunzo. [3]

Mama yake Bennet ni Mmarekani mwenye asili ya Uingereza na baba yake ni Mchina. [4] Ana kaka saba: [5] wanne wa kibiolojia, walezi wawili na mmoja wa kuasili; wawili ni wa asili ya Kiafrika na mmoja ana asili ya Mexico na Ufilipino. [6]

Alihudhuria St. Ignatius College Prep. [6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Chloe Bennet. TV Guide. Jalada kutoka ya awali juu ya September 27, 2014. Iliwekwa mnamo September 30, 2015.
  2. Hiltbrand (November 12, 2013). Chloe Bennet out to impress the guys. Jalada kutoka ya awali juu ya December 18, 2014. Iliwekwa mnamo May 12, 2014.
  3. reporter. Chloe Bennet brings humor and heart to 'Agents of S.H.I.E.L.D.' (en-US). chicagotribune.com. Iliwekwa mnamo March 14, 2019.
  4. "Actress Chloe Bennet says changing her name changed her luck". 
  5. Chloe Bennet – Episode 5 (en-US). Fired Up with Brad Jenkins 🔥☝🏾. Iliwekwa mnamo August 7, 2019.
  6. 6.0 6.1 "Chloe Bennet brings humor and heart to 'Agents of S.H.I.E.L.D.'".