Cheris Avilia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cheris Salano Avilia (amezaliwa 11 Disemba 1989[1]), anajulikana kama Cheris Salami, ni mcheza mpira wa miguu wa Kenya ambaye alichezea Spendag na timu ya taifa ya wanawake wa Kenya.

Alichezea Kenya katika kombe la Wanawake wa Afrika mwaka 2016.[1]. Aliishindia Kenya dhidi ya timu ya taifa ya wanawake wa Mali.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "SQUAD LISTS ANNOUNCED". CAFonline.com. 16 November 2016.  Check date values in: |date= (help)
  2. Football, CAF - Confederation of African. Kenya dumped out after Mali loss.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Cheris Avilia kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.